Kijiti cha Ajabu na Hadithi Nyingine by Sasa Sema

KSh325.00

In stock

by Sasa Sema
“Mwishowe alijikuta chini ya mlima kule alikoanzia kupandia huku akiwa ameshika kijiti cha nafaka.”
Je, kijiti cha nafaka kweli? Yawezekana? Kama si ajabu basi ni mazingaombwe kuwa nu kijiti cha nafaka. Hiki kweli ni kijiti cha ajabu.
Mwandishi amejenga usimulizi wake kwa ustadi wa hali ya juu huku akizingatia msamiati mwafaka. Hadithi hizi zimekusudiwa kukidhi mahitaji ya msomaji hasa kuhusu imani na itikadi kotika jamii na maisha ya kilo siku.

Compare
Category:
Submit your review

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

Show Buttons
Hide Buttons

Shop By Department

1
Thank you for visiting us,

Need any help?

Regards | Pick A Book Kenya
Powered by