Darasa la mbu by Kawegere
Roll over image to zoom in
KSh238.00
by Kawegere
Mbu Mtoto na Mbu Mama wanajua vyema uhai wao unategemea damu ya Mama Mjamzito. Mbu mtoto anahitaji kujifunza mbinu za kuinyonya damu ya binadamu bila yeye kujua. Hivyo, inakuwa ni lazima kupelekwa Shule ya Mbu. Ni shule inayojaa vituko. Huna budi kusoma ujionee!
Reviews
There are no reviews yet.