-
“Koko riko nani ameniamsha?” by Muchemi
by Muchemi
“Koko Riko! Nani ameniamsha?” ni hadithi ya kuchekesha. Kitabu hiki kitakufanya kuwa na hamu ya kusoma mara kwa mara.KSh230.00“Koko riko nani ameniamsha?” by Muchemi
KSh230.00 -
Abida avuka barab:Little birds Life skills reader by Pamela M.Ngugi
by Pamela M.Ngugi
Abida Avuka Barabara ni kimoja cha vitabu vya hadithi katika msururu wa little Birds ECDE ambayo vimeandikwa kuwapa watoto maarila na mbinu za kimaisha na hasa njia na hatua salama za kuvuka barabara.Pia michezo Iliyo salama.KSh190.00 -
Adhabu ya Joka by Bitugi Matundura
by Bitugi Matundura
Furaha ya kila mwanandoa huwa ni kupata mtoto …Kibuka na Kalimuzo wanaishi kwa miaka kumi na miwili bila kujaaliwa kupata mtoto. Maadamu Mungu si Athumani, hatimaye wanajaaliwa kupata mtoto wa kiume wanayemwita Ziro. Je, mtoto huyu alikuwa chanzo cha furaha au huzuni kwa wazazi wake? Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo ni methali yenye mashiko makuu katika maisha ya Ziro. Analelewa katika mazingira ya kuenpekezwa sana na wazazi wake kiasi cha kumfanya kuishia kuwa samaki ambaye hakukunjwa angali mbichi. Je, Ziro anabadilika hatimaye? Hii ni hadithi ya kuwaonya vijana dhidi ya uhalifu kama vile wizi kwani Ziro anapata adhabu ya joka anapoiba sanduku lililodhaniwa kuwa na pesa nyingi sana.KSh405.00Adhabu ya Joka by Bitugi Matundura
KSh405.00 -
Adhabu ya Mahaba by Juma
by Juma
Gonzale na kayamba ni vijana barobaro wanaoishi Mombasa katika nyumba ya baba yao aliyestaafu na kuguri shamba. Baba yao amejitoa mhanga kuhakikisha kwamba vijana hawa wanapata masomo ili wabadili mustakabali wa maisha yao na ya familia yao. Asichokijua ni kwamba kuishi kwa vijana mombasa ni ngoma! kuna vishawishi vya kila nui.
Raha inamnogea Gonzale. anaingia katika mapenzi na msichana mrembo wa kitajiri, Brenda. Brenda anapopata ujauzito, kitumbua chake kinaingia mchanga. Kwa Kuwa Gonzale hawezi kumkabili baba yake Brenda, anachana mbuga. Mambo yanapochacha, Brenda anatorokea Nairobi anakomsingizia mwanaume mwingine mimba yake. Je, mwanaume huyu ataikubali mimba hii? Je, Gonzale atanusurika adhabu ya babake Brenda? Lakini makosa ni ya nani? Ni ya mwenye kupenda au mwenye kupendwa?KSh406.00Adhabu ya Mahaba by Juma
KSh406.00 -
Adhabu ya Mbuzi 5a by Maanga
by Maanga
Adhabu ya Mbuzi 5aKSh191.00Adhabu ya Mbuzi 5a by Maanga
KSh191.00 -
Adhabu ya mvua by Nandasaba
by Nandasaba
Ni vyema kupima neno kabla halijatoka kinywani. Usahauri wa Mama Nafula kuhusu chanzo cha baba yake Nafula kupigwa na radi unamkanganya. Ushauri huo unamwandama sana Nafula kiasi cha kutoroka shuleni mvua unaponyesha. Swali ni kuwa ni nini chanzo cha mtu kupigwa na radi? Je, mtoto anaweza kuchukua hatua ambayo Nafula alichukua ili kuyaokoa malazi yake? Soma upate uhondo wa simulizi huu.KSh232.00Adhabu ya mvua by Nandasaba
KSh232.00 -
Adhabu ya Siafu by Zawadi
by Zawadi
Adhabu ya Siafu ni hadithi inayozindua msururu Adabu na Utiifu’ inayolenga kuwaonesha watoto umuhimu wa kufuata maagizo na mawaidha ya wazazi. Ni onyo kwa watoto watukutu wasiofuata maagizo. Baraka na Zawadi, wahusika wakuu katika hadithi hii, wanaadhibiwa vikali na siafu kwa kutofuata ushauri wa wazazi woa Je, unamjua siafu? Kwa kimo chake kidogo hivyo, atatumia mbinu gani kumwadhibu mwanadamu?KSh150.00Adhabu ya Siafu by Zawadi
KSh150.00 -
Adili na Nduguze by Shaaban Bin Robert
by Shaaban Bin Robert
Adili alipofika nyumba nyingine, kubwa kuliko ya kwanza, alifungua mlango akaingia ndani. Nyuma yake mlango utifungwa kwa nguvu. Ikibali alinyata mpaka mlangoni akasimama kimya. Alichungulia ndani katika ufa wa mlango akaona ukumbi. Katika ukumbi palikuwa na kitanda kizuri na meza moja. Manyani yaliyofungwa viunoni minyororo ya dhahabu yalikuwa yamelala kitandani. Adili aliweka sinia juu ya meza. Nyani moja lilipofunguliwa lilirukaruka likalialia kinyonge. Adili alilikamata akalifunga miguu ye mbele na ya nyuma kwa kamba. Alipolitupa chini… Mikasa katika hadithi hii inahusu wanadamu na imesimuliwa kinaganaga. inatazamiwa kuwa kitabu chenyewe kitawapendeza wasomaji wake.KSh458.00Adili na Nduguze by Shaaban Bin Robert
KSh458.00 -
-
-
Ah! Shangazi Mela 7e by Rebecca Nandwa
by Rebecca Nandwa
Nanjira anajipata njiani tena,wakati huu kutoka mashambani kuelekea nairobi.Ingawa kumbukumbu za maisha aliyoishi na wazazi wake zinamjia anapopata mjini Naivasha,Ana raha ya kwenda kusomea Nairobi.Nani asingefurahia kusomea jijini?lakini kile ambacho nanjira hajui ni kuwa shangazi yake.mela.Ana mpango tofauti….ah! Shangazi mela ni mojawapo ya hadithi katika mradi w akusoma.Huu ni mradi wa vitabu vya ziada ambayvo vianaambatana na kozi ya kiswahili sanifuKSh265.00Ah! Shangazi Mela 7e by Rebecca Nandwa
KSh265.00 -
-
Ahsante ya Punda 6d by Walibora
by Walibora
Ahsante ya Punda 6d ni kitabu ktnacholenga wanafunzi wa Darasa to Sita katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:
Mradi wa Kusoma ni mfulutizo wa vitabu vya ziada ambao unaambatana na kozi a Kiswahiti Sanifu.KSh249.00Ahsante ya Punda 6d by Walibora
KSh249.00 -
Ajabu ya Chungu cha Uji by Ladybird
by Ladybird
Hadithi za ‘Ladybird’ zimesimuliwa kwa kuzingatia mikusanyiko ya hadithi za ‘Well-Loved Tales’ ambazo zinapendwa na wasomaji wengi sana.
Hadithi hizi za kipekee zimepambwa michoro maridadi ambapo inaleta ubora na uhondo wa masimulizi pa Ladybird kwa wasomaji wa kizazi kipya. Watoto kutoka kizazi hadi kizazi wamependa sana hadithi hizi. na watapata burudani zaidi kwa kuzisoma pamoja.KSh250.00Ajabu ya Chungu cha Uji by Ladybird
KSh250.00 -
-
-
-
KSh313.00
Alfu Lela Ulela Kitabu cha 2 by Yahya
KSh313.00 -
KSh335.00
Alfu Lela Ulela Kitabu cha 3 by Yahya
KSh335.00 -
Alidhani Kapata na Hadithi Nyingine by Iribemwangi
by Iribemwangi
Alidhani Kapata na hadithi Nyingine ni mkusanyiko wa hadithi fupi zinazoshughulikia maswala mbalimbali yanayoziathiri jamii zeta, hususan maswala ibuka kama vile: ufisadi, ukimwi, uhifadhi wa mazingira, unyumba na kadhalika. Aidha, hadithi hizi zimeandikwa na waandishi wenye tajriba tofauti za kimaisha – kuna wale ambao wana tajriba kubwa ki-umri na ki-uandishi, na pia kuna vijana ambao wanaandika kwa mara yao ya kwanza. Pamoja na hayo, diwani hii imejumuisha waandishi wa kiume na wa kike, iimuradi kuzipa jinsia zote nafasi ya kujieieza na kusikika. Ni hadithi ambazo zitasisimua na kuchochea hisia za masikitiko; zitasuta udhaifu wa kibinadamu na pia kutoa mwelekeo ufaao.KSh580.00 -
Alipata Tuzo 5A by Pamela Ngugi
by Pamela Ngugi
Kufahamu kwamba wazazi wake hawako hai, kulifuatiwa na kuwapoteza walezi wake mmoja baada ya mwingine. Alipenda masomo lakini je, ni nani angegharamia? Katika hali kama hii, mtu anaweza kupoteza matumaini.KSh208.00Alipata Tuzo 5A by Pamela Ngugi
KSh208.00 -
Alitoroka Kwao by Angelina Mdari
by Angelina Mdari
Alitoroka Kwao Lo! Mara Eva alipoipokea ile risiti yake akaanza kutetemeka kwa woga. Akajiwa na fikira zilizomzomea, ‘Mtoto umepotea wewe! Ati unaenda Nairobi? Unamjua nani huko?’ Mawazo hayo yakamjaa ubongoni. Eva akaendelea kutetemeka kwa hofu. Na kweli, huko alikokuwa anakwenda alimjua nani? Lakini hapana! Akajipa moyo tena. Hangerudi nyuma!KSh174.00Alitoroka Kwao by Angelina Mdari
KSh174.00 -
Andisi and the Cat Level 5
Jumbo Junior Readers is an interesting series for young children. It is lively and exciting to the young readers who will want to read more and more. It will sharpen their love for reading. Levels 1-3 are meant for children with limited English vocabulary, while levels 4 and 5 are for advanced pupils in their Primary 3 and 4. The Weaverbird Series caters for children above these levels. Andisi and the Cat is about a young girl’s love for her pet cat Doris. She wants the cat beautifully dressed and treated with love. On her part, Doris protects Andisi from a snake attack. The two are always active; fighting, playing and having fun.
KSh278.00Andisi and the Cat Level 5
KSh278.00 -
Androko na Simba by W.E Mkufya
by W.E Mkufya
Binadamu aliyerudishiwa fadhila na Simba baada ya kumponya jeraha la mkono mwituni, ni hadithi ya zamani ya Kiyunani. Masimulizi haya, ingawaje yameandikwa upya, yanafanana na kiini cha hekaya hiyo ya kale. Mandhari, wahusika, matukio na mtiririko wa hadithi, vimebadilishwa ili masimulizi yapokelewe na watoto kwa shauku. Mwandishi amejitahidi kuzidisha wepesi wa kusomeka, kueleweka na kufurahisha, na wakati huohuo kubakisha dhamira ya kuadilisha ya hekaya hiyo.KSh334.00Androko na Simba by W.E Mkufya
KSh334.00 -
Arusi ya Buldoza na Hadithi by Said Mohamed
by Said Mohamed
KSh626.00 -
-
Asiyesikia la Mkuu (mwasio) by peter juma
by peter juma
John anajipata matatani kwa kutotilia maanani anayoshauriwa na wavyele wake.Kumbe kila hatia ina madhara yake!Soma hadithi hii ya kuvutia uepukane na majuto.KSh224.00 -
Atamlilia Nani? 7d by Said A Mohamed
by Said A Mohamed
Alamlilia nani? 7d ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa la Saba katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma.Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:
Mradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada ambao unaambatana na kozi ua Kiswahili Sanifu.KSh265.00Atamlilia Nani? 7d by Said A Mohamed
KSh265.00 -
Atendaye Mema
Atendaye Mema by David G.Maillu
…Punde to Mbolea akamwona nyoka. Akashtuka na kulia huku akijaribu kutoroka. Lakini hakuwa na nguvu za kutosha. Akamwambia nyoka, ” Nakuomba usiniue, mimi, ni maskini na yatima”. Soma upate kujua yaliyompata kijana Mbolea. Hii ni hadithi ya kusisimua na yenye mafunzo mema kwa vijana.KSh270.00Atendaye Mema
KSh270.00 -
-
Ayubu Mashakani by John Habwe
by John Habwe
Ayubu anagundua kwamba kuwa mtoto mbaya hakuna faida yoyote ila kumletea shida tu. Ugunduzi huo unamtoa mashakani na kumletea maisha yenye furaha na raha. Waliomwonea aibu sasa wanamwonea fahari.Ayubu Mashakani (Pepea na Kipepeo 3F) ni kitabu kinachonuiwa kumpa mwanafunzi fursa ya kufanya mazoezi ya kusoma kwa ziada huku akijiburudisha na kujifunza mambo kadhaa muhimu. Kinaweza kutumiwa pamoja na kitabu chochote cha kozi.KSh139.00Ayubu Mashakani by John Habwe
KSh139.00 -
Azizi na mawe ya miujiza by Githinji
by Githinji
Azizi na Baba wanaona maajabu wanapotembelea duka la waganga. Mganga anafanya miujiza ambayo inabadili makaa kuwa mawe ya ajabu. Je, Azizi atatumia mbinu gani kupata mawe hayo?KSh290.00Azizi na mawe ya miujiza by Githinji
KSh290.00